Zingatia Haya Mambo 10 Unapotaka Kuunda Tovuti Inayokuletea Oda Katika Mgahawa Wako

Ikiwa umefungua mgahawa au unamatarajio ya kufungua biashara ya mgahawa hivi karibuni, ni vema ukatambua kuwa itachukua muda kuvutia wateja zaidi.

Unajua fika kuwa wateja wako watarajiwa aidha wako nyumbani, maofisini, au safarini wana njaa na wanatafuta mahali pazuri pa kula. Swali ni je, unawezaje kuwafikia? Unawaambiaje kuwa mgahawa wako upo na kwamba uko wazi na uko tayari kuwahudumia?

Jibu ni rahisi… ni tovuti yako 😀

Najua si jambo ulilokuwa ukilifikiria, pengine kwa sababu ya mazingira yetu ya kiafrika. Lakini hamini usihamini… matumizi ya teknolojia ya intaneti katika bara letu yanakuwa kwa kasi. Na unapoongelea makuzi ya teknolojia, fikra za walio wengi ukazia hisia matumizi ya mitandao ya kijamii. Ndiyo, mitando hii ndo imekuwa kivutio cha wengi kutumia simu janja (smartphones) lakini

Duis voluptatum est ex. Id vis consequat consetetur dissentiet, ceteros commune perpetua mei et. Simul viderer facilisis cu usu. Legimus tractatos splendide ei nec, cu ferri adversarium his, ne nam cibo movet viris.

Ludico ornatus volutpat duo id, utinam adipiscing sit ei. Vix audiam impetus percipitur ut, vix dicant phaedrum ut.Ut omittam senserit dissentias est, option partiendo eu per, atomorum electram in sit. Et tractatos voluptaria instructior sea, ei vix wisi zril. Sed doctus accusata ex, no porro facete usu. Vocent phaedrum scripserit cu vix, ex tota meis eum. Est an possim molestie iudicabit.

Vel minimum eloquentiam deterruisset ad, epicuri expetenda concludaturque nam et. Sed te affert voluptatibus.

  • Vidit mentitum vis in.
  • Mix ea viderer sanctus.
  • Probo omnes fuisset ius an.

About Author /

There are no comments yet

Start typing and press Enter to search